MENU MENU

BONGO DONE

SEARCH
  • Home
  • Demos
    • Best Adapted
      • NYTimes
      • Flatnews
      • Sahifa
      • Sevida
    • Magazine
      • Tech Geekers
      • Elegant Pack
      • Stylish Zine
      • Minimal Times
    • Blogging
      • Affiliate Marketers
      • Dairy Notes
      • Absolute Writers
      • Financial List
    • Portfolio
      • Random Grids
      • Working Blocks
      • Showcase Palette
      • Fluid Stacks
  • Drop Down
    • Sub Menu Level 1.1
    • Sub Menu Level 1.2
      • Sub Menu Level 1.2.2
      • Sub Menu Level 1.2.1
      • Sub Menu Level 1.2.3
    • Sub Menu Level 1.3
  • Mega Links
    • Group Example 1
      • Sub Mega Link 1.1
      • Sub Mega Link 1.2
      • Sub Mega Link 1.3
      • Sub Mega Link 1.4
    • Group Example 2
      • Sub Mega Link 2.1
      • Sub Mega Link 2.2
      • Sub Mega Link 2.3
      • Sub Mega Link 2.4
    • Group Example 3
      • Sub Mega Link 3.1
      • Sub Mega Link 3.2
      • Sub Mega Link 3.3
      • Sub Mega Link 3.4
    • Group Example 4
      • Sub Mega Link 4.1
      • Sub Mega Link 4.2
      • Sub Mega Link 4.3
      • Sub Mega Link 4.4
  • Mega Label
  • Complex Mega
    • Mega Link Label 01
    • Mega Link Label 02
      • Sub Link 2.1
      • Sub Link 2.2
      • Sub Link 2.3
    • Mega Link Label 03
  • Shortcode
    • Dropcap
    • Premium Content
    • Buttons
    • Message Box
    • Horizontal Tabs
    • Vertical Tab
    • Accordion / Toggle
    • Text Columns
    • Code Box
    • Contact Form
  • Buy Now

Baba Diamond afunguka na kukumbusha ya nyuma ishu ya mwanae

0 0 DJPOO Monday, 26 March 2018 Edit this post

Mzee Abdul Juma. SIKU chache baada ya staa ‘grade one’ wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoa maneno mak...

Mzee Abdul Juma.

SIKU chache baada ya staa ‘grade one’ wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoa maneno makali dhidi ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, baba wa msanii huyo, Abdul Juma ameibuka na kukumbushia ya nyuma (kufukua makaburi) kwa kusema amefanya makosa kama aliyowahi kumfanyia yeye!

Baba Diamond alisema amesikitishwa na kauli ya mwanaye dhi
Mzee Abdul Juma.

SIKU chache baada ya staa ‘grade one’ wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kutoa maneno makali dhidi ya Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, baba wa msanii huyo, Abdul Juma ameibuka na kukumbushia ya nyuma (kufukua makaburi) kwa kusema amefanya makosa kama aliyowahi kumfanyia yeye!

Baba Diamond alisema amesikitishwa na kauli ya mwanaye dhidi ya Shonza.“Nimesikia yale mahojiano redioni yote na niseme kama mzazi sijapendezwa hata kidogo, kitendo chakumshambulia Shonza si kizuri hata kidogo na sijui kwa nini aliamua kutoa lugha kali kiasi kile,” alisema baba Diamond.

 Baba Diamond alienda mbali zaidi kwa kusema kwamba, alichokifanya mwanaye ni muendelezo wa kileambacho aliwahi kumfanyia kipindi cha nyuma.“Tabia kama hii ya kutoa lugha ya dharau hajaianza jana wala leo, nakumbuka kabisa alishawahi kunifanyia kipindi cha nyuma hadi nikakata tamaa na kujihisi sina mtotokama unakumbuka ilifi kia kipindi nikasema hata nikifa asinizike, ameendeleza tabia hiyohiyo kwa waziri.”

Diamond.

“Haya na waziri Mwakyembe ameingilia kati na kusema hakufurahishwa na kitendo hicho, naungana naye kabisa si busara Diamond kushindana na serikali na kama ana ushauri basi autoe kistaarabu.“Kama mzazi amenikwaza sana na sijafurahishwa hata kidogo, ninachomuomba kwa sasa amfuate Shonza na amuombe msamaha,atambue yeye ni sehemu ya kioo kinachoangaliwa na jamii,” alimaliza baba Diamond.

Hivi karibuni, Diamond akifanyiwa mahojiano katika Kipindi cha The Playlist cha Radio Times FM kutokana na kufungiwa kwa nyimbo zake mbili; Waka Waka na Hallelujah, alitoa maneno makali akiwa na jazba dhidi ya Naibu Waziri Shonza kuwa hajawahi kusaidiwa na waziri huyo chochote kwenye muziki wake, anashangaa kumuona anakurupuka na kumfungia nyimbo zake.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza.

Diamond alienda mbali zaidi na kusema kuwa, haogopi hata kwenda jela atakwenda ila ataitetea Bongo Fleva kwani anaijua kuliko anavyoijua waziri huyo na kwamba kitendo cha kumfungia nyimbo zake, hakukifanyia utafi ti kwanza.

Baada ya kauli hiyo, waziri Shonza alijibu amesikia malalamiko ya Diamond lakini hawezi kumjibu kwa sababu zipo taratibu za kufuata ikiwemo kuandika barua kama anaona hajatendewa haki Februari 28, mwaka huu, TCRA iliandika barua kwa vituo vya redio na runinga ikiviagiza visitishe kucheza nyimbo 15 za wasanii zikiwemo mbili za Diamond kutokana na kuwa na maudhui ambayo ni kinyume na maadili na kanuni za Huduma za Utangazaji(mwaka 2005)

SHARE:

Twitter Facebook Google Pinterest

COMMENTS

BLOGGER
FACEBOOK:
DISQUS

About

Templateclue

Random Posts

randomposts

/fa-clock-o/ WEEK TRENDING$type=list

  • Mrembo Diana Afunguka Dhuluma Aliyofanyiwa Miss World 2016 na Mkenya.....
    Hii ndiyo story nzima ya Miss world 2016.Katika mashindano yale hawaangali urembo tu bali na lengo la Urembo yaani (BeautyWithaPurpose) na h...
  • Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu..
    Mwandishi Mahiri wa Habari za Uchunguzi, MohammedAli anayefahamika kwa Makala za Jicho Pevu ametangaza kujiuzulu kutoka taaluma ya kufichua ...
  • wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko
    Watu 34 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari mjini Mogadishu nchini Somalia Kwa mujibu wa idar...
  • ​WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA APOKEA SH. MILIONI 5.6 ZA MADAWATI
    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wawe wabunifu katika kusaidia kutafuta vyanzo vya mapato kwenye jamii inayowa...
  • Sasa ni Rasmi Vodacom Tanzania Kuanza Kuuza Hisa Zake Kwa Wawekezaji
    Kampuni ya simu za mkononi nchini Vodacom Tanzaniaitakuwa kampuni ya kwanza inayotoa huduma za mawasiliano kuuza hisa zake katika soko la hi...
  • Jinsi Kesi ya Lema Ilivyoibua Mapinduzi ya Kisheria..............!!!
    Kesi ya tuhuma za uchochezi inayomkabili mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, inaendelea, lakini inaweza kuwa imejenga misingi y...
  • Ona matokeo ya mtihani wa Form Two 2016 na Darasa la nne 2016
    Jana January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo y...
  • YT8T67Y9
    H89Y8Y80YU80
  • Rais wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli Awaagiza Tanesco Kukata Umeme Ikulu...!!!
    Rais wa Jamhuri ya Munngano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa uongozi wa tanesco kukata umeme kwa Wizara au taasisi yoy...
  • Korea Kaskazini yaipa onyo kuishambulia Marekani na makombora ya kinyuklia
    Korea Kaskazini imeionya Marekani kutoanzisha vitendo vya uchokozi katika eneo la Korea ikisema kuwa iko tayari kulipiza kisasi kupitia msha...

RECENT WITH THUMBS$type=blogging$m=0$cate=0$sn=0$rm=0$c=4$va=0

  • kimataifa
  • Mlipuko
  • mtandao
  • teknolojia

RECENT$type=list-tab$date=0$au=0$c=5

  • kimataifa
  • Mlipuko
  • mtandao
  • teknolojia

REPLIES$type=list-tab$com=0$c=4$src=recent-comments

  • kimataifa
  • Mlipuko
  • mtandao
  • teknolojia

RANDOM$type=list-tab$date=0$au=0$c=5$src=random-posts

  • kimataifa
  • Mlipuko
  • mtandao
  • teknolojia

Blogroll

/fa-fire/ YEAR POPULAR$type=one

  • Mrembo Diana Afunguka Dhuluma Aliyofanyiwa Miss World 2016 na Mkenya.....
    Hii ndiyo story nzima ya Miss world 2016.Katika mashindano yale hawaangali urembo tu bali na lengo la Urembo yaani (BeautyWithaPurpose) na h...
  • Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu..
    Mwandishi Mahiri wa Habari za Uchunguzi, MohammedAli anayefahamika kwa Makala za Jicho Pevu ametangaza kujiuzulu kutoka taaluma ya kufichua ...
  • wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko
    Watu 34 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari mjini Mogadishu nchini Somalia Kwa mujibu wa idar...
  • ​WAZIRI MKUU WA TANZANIA MH KASSIM MAJALIWA APOKEA SH. MILIONI 5.6 ZA MADAWATI
    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini wawe wabunifu katika kusaidia kutafuta vyanzo vya mapato kwenye jamii inayowa...
  • Sasa ni Rasmi Vodacom Tanzania Kuanza Kuuza Hisa Zake Kwa Wawekezaji
    Kampuni ya simu za mkononi nchini Vodacom Tanzaniaitakuwa kampuni ya kwanza inayotoa huduma za mawasiliano kuuza hisa zake katika soko la hi...
  • Jinsi Kesi ya Lema Ilivyoibua Mapinduzi ya Kisheria..............!!!
    Kesi ya tuhuma za uchochezi inayomkabili mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema, inaendelea, lakini inaweza kuwa imejenga misingi y...
  • Ona matokeo ya mtihani wa Form Two 2016 na Darasa la nne 2016
    Jana January 15 2017 Baraza la mitihani Tanzania ‘NECTA’limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili ‘FTNA’2016 na matokeo y...
  • YT8T67Y9
    H89Y8Y80YU80
  • Rais wa Tanzania Mh John Pombe Magufuli Awaagiza Tanesco Kukata Umeme Ikulu...!!!
    Rais wa Jamhuri ya Munngano wa Tanzania Mh Dr John Pombe Magufuli ametoa agizo kwa uongozi wa tanesco kukata umeme kwa Wizara au taasisi yoy...
  • Korea Kaskazini yaipa onyo kuishambulia Marekani na makombora ya kinyuklia
    Korea Kaskazini imeionya Marekani kutoanzisha vitendo vya uchokozi katika eneo la Korea ikisema kuwa iko tayari kulipiza kisasi kupitia msha...

Comments

© 2015 BONGO DONE
All rights reserved.
  • Home
Name
Email
Message

kimataifa,1,Mlipuko,1,mtandao,1,teknolojia,1,
ltr
item
BONGO DONE: Baba Diamond afunguka na kukumbusha ya nyuma ishu ya mwanae
Baba Diamond afunguka na kukumbusha ya nyuma ishu ya mwanae
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRKq0sUysBtT2R8JtTJxXM3_2iPJatZg30TfI9JytVRhbTfWZAWpifo-C2Qi2A2tstAfXRf1WSDnhJLcwRscPl2UCToIft7an9CfUzXc-Ba1NUYWpPz4RIh9GcKCOIt9vyEAdKT1BWyS0/s320/sosij.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhRKq0sUysBtT2R8JtTJxXM3_2iPJatZg30TfI9JytVRhbTfWZAWpifo-C2Qi2A2tstAfXRf1WSDnhJLcwRscPl2UCToIft7an9CfUzXc-Ba1NUYWpPz4RIh9GcKCOIt9vyEAdKT1BWyS0/s72-c/sosij.jpg
BONGO DONE
https://bongodone.blogspot.com/2018/03/baba-diamond-afunguka-na-kukumbusha-ya.html
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/2018/03/baba-diamond-afunguka-na-kukumbusha-ya.html
true
5217992609549716446
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy