Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu..

Mwandishi Mahiri wa Habari za Uchunguzi, MohammedAli anayefahamika kwa Makala za Jicho Pevu ametangaza kujiuzulu kutoka taaluma ya kufichua ...

Mwandishi Mahiri wa Habari za Uchunguzi, MohammedAli anayefahamika kwa Makala za Jicho Pevu ametangaza kujiuzulu kutoka taaluma ya kufichua maovu ya kiutawala na jamii na kujiunga na siasa.

Mohammed katika mtandao wake wa Twitter ameandika "Kwa miaka 10 mfululizo nimekuwa nikisimama nanyi kuzidisha sauti zenu za kuangaishwa.

Sasa ni wakati wangu wa kuwauliza, msimame nami katika harakati zangu za kuwania ubunge wa Nyali kwa tiketi ya ODM".

Ameahidi kuwa akitimiza ndoto hiyo atakuwa mshirikishi mkuu wa utawala wa haki kwa Wakenya wote bila ubaguzi.


COMMENTS

Name

kimataifa,1,Mlipuko,1,mtandao,1,teknolojia,1,
ltr
item
BONGO DONE: Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu..
Mohammed Ali wa Jicho Pevu Aastaafu Kufanya Habari za Uchunguzi na Kufichua Maovu..
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYp_F279rT2sgXYUoatjEgf6lOkPVlfaZ1D91wRtbBLHaAxyLLz8hG8tYhIiI04lLxfCfVm_6QTc76AM7oV61x0KbKmo-F3I5DscqyBTLt5K-2eMUIYYAjboWuy-Ma5O0Lha3iBbasjKZ5/%20cursor:%20pointer;
BONGO DONE
https://bongodone.blogspot.com/2017/03/mohammed-ali-wa-jicho-pevu-aastaafu.html
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/2017/03/mohammed-ali-wa-jicho-pevu-aastaafu.html
true
5217992609549716446
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy