Mrembo Diana Afunguka Dhuluma Aliyofanyiwa Miss World 2016 na Mkenya.....

Hii ndiyo story nzima ya Miss world 2016.Katika mashindano yale hawaangali urembo tu bali na lengo la Urembo yaani (BeautyWithaPurpose) na h...

Hii ndiyo story nzima ya Miss world 2016.Katika mashindano yale hawaangali urembo tu bali na lengo la Urembo yaani (BeautyWithaPurpose) na hivyo kila mshiriki anatakiwa atengeneze ya kwake ,hivyo mimi niliamua kutengeneza ya tofauti kidogo maana ni ngumu kupata video ya mtu anayekeketwa nikaamua kuonyesha kwa njia ya documentary , nikaiupload youtube mnamo tarehe 18 October 2016 kwa mara yakwanza na baadaye kuongeza baadhi ya maudhui katika ile documentary ya kwanza hii ilikuwa kwaajili ya maandalizi ya kwenda missworld, na baada ya hapo nikaipost tarehe 24 November 2016. 

Nilipofika Washington nilikabidhi CD na pia tuliituma kwa njia ya email kwenda Miss World. Baada ya hapo tukaitwa usiku mmoja na tukaambiwa tunaoneshwa documentary zilizofanya vizuri na yangu iliingia kwenye 24 bora na ikasifiwa sana lakini siku baada ya kuoneshwa kesho yake asubuhi alikuja Miss Ghana katika chumba changu akiwa na hasira sana nkaamuuliza nini shida akasema Miss kenya anamuudhi ,na hapo kwa ajili hasira akaniambia Miss kenya kaenda kukushtaki kwa Mkuu wa MissWorld kuwa BWP yako hujaitengenezea nchini kwenu na yake ina maudhui mengi kuliko yangu.Nilipomjulisha Meneja hakutaka kuamini kuwa Taasisi kubwa kama Miss World haiwezi kuaminishwa kwa maneno ya mdomoni bila kufanya uchunguzi wa kina,lakini baada ya hapo muaandaji wa miss Kenya alikuwa ameshafika na akawa analalamika sana eti kwanini miss Kenya hafanyivizuri akawa anashauriana naye vitu vingi.Baadaye tukatajiwa Top5 Kenya ikaingia ile hali haikuwepo katikaorodha ya 24 Bora japo kwa kipindi chote hicho alikuwa hajaonesha documentary siku tulipotakiwa tukionesha documentary zetu.Muandaaji wa Miss kenya alikuja wiki mbili kabla ya fainali na alikuwepo kwenye group la whatsapp la Miss world ambalo kimsingi lilikuwa ni group mahususi kwaajili ya washiriki tu na baadaye alijisahau akatuma meseji kumuuliza Evelyn kwanini havai hereni zenye kuitambulisha Kenya.Swali linakuja je alifuata nini kwenye group na aliingizwaje kwenye group la washiriki ambalo lilikuwa linajumuisha na viongozi wa MissWorld.


COMMENTS

Name

kimataifa,1,Mlipuko,1,mtandao,1,teknolojia,1,
ltr
item
BONGO DONE: Mrembo Diana Afunguka Dhuluma Aliyofanyiwa Miss World 2016 na Mkenya.....
Mrembo Diana Afunguka Dhuluma Aliyofanyiwa Miss World 2016 na Mkenya.....
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhQBp_GUIZ2DyXUm6MQDpuf3wLb9uKfSJULGiNVnFqq0PKuljM_yMvr8kG_w3yzS6zXW6KF9RJhcLRfWHxitxDX_X5IuNu-yJoDQQ7us5qOGbQCVj2Ovu4IWlQ_m0AOq9AR80CCgH13e58e/%20cursor:%20pointer;
BONGO DONE
https://bongodone.blogspot.com/2017/03/mrembo-diana-afunguka-dhuluma.html
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/2017/03/mrembo-diana-afunguka-dhuluma.html
true
5217992609549716446
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy