wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko

Watu 34 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari mjini Mogadishu nchini Somalia Kwa mujibu wa idar...

Watu 34 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko wa bomu lililotegwa ndani ya gari mjini Mogadishu nchini Somalia



Kwa mujibu wa idara za usalama nchini humo gari hilo lililokuwa na milipuzi lilifanya shambulio hilo katika mtaa wa Madina kusini mwa Somalia.

Shambulio hili ni la kwanza kufanyika katika utawala mpya wa taifa hilo wa Somalia chini ya Rais wa Mohamed Abdullahi Mohamed.

Hakuna kundi la kigaidi ambalo limekiri kuhusiana na tukio hilo, japo kuwa kundi la al Shabaab linatiliwa shaka kuhusika na shambulio hilo.

Siku ya jumamosi kamanda mwandamizi wa al shabab alitangaza kuwa watafanya shambulizi kulenga wafuasi wa rais.


COMMENTS

Name

kimataifa,1,Mlipuko,1,mtandao,1,teknolojia,1,
ltr
item
BONGO DONE: wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko
wengine 50 kujeruhiwa katika mlipuko
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjxrBks8pWyKH1L5OLA9L1Il1wHmugNzQsiC63CDhg0GqHa6hv8wU5VnoBxpB5fHZtQX96u4zdeuLnlExs7dJ7y1-HzLpgVjUJoAK-QTVb34lV4necD7xncgSNyrjRpaV0S0GvEyJMpF1Qc/%20cursor:%20pointer;
BONGO DONE
https://bongodone.blogspot.com/2017/02/wengine-50-kujeruhiwa-katika-mlipuko.html
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/2017/02/wengine-50-kujeruhiwa-katika-mlipuko.html
true
5217992609549716446
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy