Baada ya Zigo Remix, AY amekamilisha collabo nyingine na staa Mkenya

Baada ya kufanya poa sana kwa hit single ya “Zigo Remix”, rapa AY amerudi tena studio kuandaa collabo yake mpya na amethitisha hilo kwa kuwe...



Baada ya kufanya poa sana kwa hit single ya “Zigo Remix”, rapa AY amerudi tena studio kuandaa collabo yake mpya na amethitisha hilo kwa kuweka wazi kwamba anategemea kuachia ngoma ambayoameshirikiana na rapperNyashinskikutoka Kenya.

Kupitia account yake ya Instagram AY ameeleza kuwa siku sio nyingi ataachia wimbo aliofanya na Nyashinski amv
baye anafanya vizuri sana kupitia hit song yake ya ‘Mungu pekee’ & ‘Now you know’.

Thanks kwa hii Love Mombasa Kenya��������Habari zikufikie hivi punde kuwa next week nataka kuyafurahisha masikio yako kwa muziki mzuri Featuring NYASHINSKI @realshinski #staytuned����x����


COMMENTS

Name

kimataifa,1,Mlipuko,1,mtandao,1,teknolojia,1,
ltr
item
BONGO DONE: Baada ya Zigo Remix, AY amekamilisha collabo nyingine na staa Mkenya
Baada ya Zigo Remix, AY amekamilisha collabo nyingine na staa Mkenya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh94DHOwZ8itpxtC5QlnotB-sLK9wVHlmgBivutzHTqm3YQeUCSgLfVdE_K8D45-lZisQf2zJaTuNvggJczKelaScZWDzitQa3QYuXE4MTB9U5Oyb8Xb2Rdo4Azh-Ral5hRNcAs97zAvnIU/%20cursor:%20pointer;
BONGO DONE
https://bongodone.blogspot.com/2017/01/baada-ya-zigo-remix-ay-amekamilisha.html
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/2017/01/baada-ya-zigo-remix-ay-amekamilisha.html
true
5217992609549716446
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy