RAYMOND(RAYVANNY) ANENA HAYA KUHUSU YEYE NA ALIKIBA WAKIKUTANA

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Rayvanny amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Alikiba ambaye ni mpinzani mkubwa wa boss wake Di...

Msanii wa muziki kutoka label ya WCB, Rayvanny amefunguka na kuzungumzia mahusiano yake na Alikiba ambaye ni mpinzani mkubwa wa boss wake Diamond Platnumz.


Muimbaji huyo ambaye bado anafanya vizuri na wimbo Salome alioshirikishwa na Diamond, amedai yeye hana tatizo na Alikiba na hata ikitokea nafasi ya kolabo atafanya naye.

“Alikiba huwa nikikutana naye huwa napiga naye stori, tunasalimiana tunacheka, ananiambia kuwa nafanya kazi nzuri, hatujawahi kuongea sana,” Rayvanny alikiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM.

Aliongeza,”Ikitokea siku naweza kufanya naye kolabo kwasababu ‘end of the day’ wote tunafanya muziki ni biashara pia, mashabiki wetu wanapenda kuona ‘combination’ za watu tofauti tofauti, hata nikikutana naye hatufungiani vioo,”

Diamond na Alikiba wamekuwa wenye bifu kwa muda mrefu huku mashabiki katika mitandao ya kijamii wakidaiwa kulichochea bifu hilo zaidi.


COMMENTS

Name

kimataifa,1,Mlipuko,1,mtandao,1,teknolojia,1,
ltr
item
BONGO DONE: RAYMOND(RAYVANNY) ANENA HAYA KUHUSU YEYE NA ALIKIBA WAKIKUTANA
RAYMOND(RAYVANNY) ANENA HAYA KUHUSU YEYE NA ALIKIBA WAKIKUTANA
https://lh3.googleusercontent.com/-cu-rS9Lg5iQ/WGe-5jP6wvI/AAAAAAAAKCw/btEqSBb-tXQ/IMG_20161220_230548.jpg%20cursor:%20pointer;
https://lh3.googleusercontent.com/-cu-rS9Lg5iQ/WGe-5jP6wvI/AAAAAAAAKCw/btEqSBb-tXQ/s72-c/IMG_20161220_230548.jpg cursor: pointer;
BONGO DONE
https://bongodone.blogspot.com/2016/12/raymondrayvanny-anena-haya-kuhusu-yeye.html
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/
https://bongodone.blogspot.com/2016/12/raymondrayvanny-anena-haya-kuhusu-yeye.html
true
5217992609549716446
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy